Natafuta kiwanja Arusha

Tuchki

JF-Expert Member
Feb 1, 2017
1,740
1,439
habari za leo. Kwa yeyote ambae ni mkazi wa arusha anaefahamu sehemu ambapo kunauzwa viwanja naomba anijulishe. Asanteni ningependa zaidi kama mtu atanipm
 
Unahitaji kiwanja cha ukubwa gani? Maeneo gani unapendelea zaidi? Bei yako ikoje? Nije na mapendekezo!
 
Nahitaji kiwanja maeneo ya arusha nje ya mji...kwenye swala la ukubwa sijui maana it's my first time kuanza kununua uwanja....maybe ungeniambia huo mchanganuo niweze kuchagua
 
Kuna viwanja vipo Ngusero kuanzia 20X20 meters kwa 4ml
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom