KARIBUNI WAGENI
PAMOJA BUILDING SOCIETY
Asante kwa kuwa nasi, Tumeamua kutumia fursa hii ili kuondokana na umasikini hasa kwa wajasiliamali wenzetu. Karibuni pamoja tujenge jamii yetu.
NAMNA YA...
Habari wana JF.
Jipatie sabuni za Magadi maarufu kama sabuni za Kigoma.
Katoni 1 kwa bei ya jumla ni 30,000Tsh inakaa mishe 20.
Rejareja tunauza kuanzia miche 5 kwa bei ya 2,000Tsh kwa mche...
Make : Toyota
Model : IST
Mileage : 91,914km
Engine size: 1,490cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 2002
Doors : 4
Seats : 5...
Incubator ya mayai 48
Nilimnunulia mtu lakini imegeuka pambo la ndani.
Bei: 275,000 Tshs
Battery AAA NS40R 12V36H
Nilinunua mpya kwa 140,000 Tshs nikidhani inaweza kutumika katika incubator kwa...
Tunapaka rangi kwa kutumia stencils, huu ni utaalamu wa kupaka rangi kwa kutumia patterns zenye maumbo yanayofanana na wallpapers.
Kwa kutumia stencils utakuwa umeokoa zaidi ya 40% ya pesa...
*#ZUKU #ZUKU #ZUKU*
inakuja na Offer hii
Tsh 88,000/= Kununua Badala ya Tsh 95,000/=
Hii unapata Vifaa vyote ( Dish,Decoder,Lnb na Cable )
Ndani yake unapata kifurshi cha Smart Pack kwa miezi...
Nyumba inapangishwa kinyerezi mwisho..
Ina uzio wa ukuta na get I
Ina sebule na vyumba viwili kimoja master, pamoja na jiko la kisasa..
Ina full maji na Tank juu
Ni mpya ..
Ina luku ya kujitegemea...
Sisi wakulima wa mtwara tunatarajia kuvuna mbaazi ya kufa mtu. Je kunamtu anajua bei ya mbaazi itakuwa sh Ngapi? Je soko la india a mbaazi kwa sasa limekaaje? Asante sana.
House 4 Rent TABATA Kinyerezi
2 Rooms
public Toilet
sitting Room
kitchen
Fence&Parking
slide windows
iko Tabata Kinyerezi Songasi
Price:200,000Tsh. Per month
cond of Pymnt: (6 month)
Ni...
Waungwana nimepotelewa na vitambulisho vyangu siku ya Jumamosi. Kwa yoyote atakaeviona tuwasiliane whatsap 0713680495 au anaweza kupiga 0713403575. Jina Silvano Machangu nipo Magomeni Dar es...
Mambo vipi wanajikwaa..
Natafuta watu waliosomea it na computer level yeyote ya elimu tupate kuanza biashara hii..
Ningependa tuwe kama 6 tu tuanze hii mishe..
Nicheck whatsapp 0738283647...
Nina uhitaji wa nyumba ndogo tu ya chumba kimoja, sebule na choo tu (self contained)..
mambo mengine ninayo taka ni kama vile ikiwa na mita yake ya umeme peke yake itakuwa poa zaidi..
Au pia kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.