Karibu unufaike na Mpango wa kilimo na biashara

Karibu unufaike na Mpango wa kilimo na biashara

sakapesa

Senior Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
100
Reaction score
54
TAASISI YA PEACE ADVOCATES FOR AGREEABLE ENVIROMENTAL SOCIETY TANZANIA

Inawatangazia wananchi fursa ya mashamba ya kilimo biashara yanayoendeshwa kwa kilimo biashara na ufugaji wa kuku wa asili.

Mipango yote miwili ya kilimo na ufugaji inaendeshwa kwa kutekeleza sera ya uwezeshaji wa wananchi kiuchumi. Mpango kilimo biashara unahusisha mazao yafuatayo

1. MAHINDI

2. MIHOGO

3. UFUTA

4. ALIZETI

5. MTAMA

6. KARANGA

7. MATIKITI

8. MATANGO

9. MBOGA MBOGA

10. MPUNGA

Mpango kilimo na biashara utakuwezesha kupata kipato cha tsh. Milioni arobaini na tano (45,000,000) kwa mwaka. Mpango wa ufugaji kuku wa asili (kopa kuku lipa kuku) Utawezesha kupata kipato cha tsh. Milioni thelathini na tano (35,000,000) kwa mwaka. Jiunge leo upate suluhisho la kukuza uchumi wako na kipato chako. Wahi sasa fomu za kujiunga na mipango yote miwili zinapatikana ofisi za PEACE zilizopo makutano ya barabara ya MANDELA na CHANG’OMBE karibu na kiwanda cha SERENGETI BREWERIES mkabara na shuleya secondary ya KIBASILA.

Kwa mawasiliano -SIMU 0719691152 – 0716-555889

Msimu wa kilimo unaanza JUNI 2017

MWANANCHI UTANUFAIKA NA

1. HUDUMA ZA UGANI

2. SOKO LA UHAKIKA

3. MAFUNZO YA UFUGAJI NA KILIMO

4. PEMBEJEO ZA KILIMO KWA GHARAMA NAFUU
 
Toa ufafanuzi wa kutosha; bei ya kukodi hayo mashamba kwa heka ni kiasi gani? Mashamba yapo sehemu gani? Taratibu za kupata mashamba zipoje? Kuhusu soko la uhakika je huyo mkulima mnamsaidiaje kupata soko inapofikia wakati wa kuuza?
Kuhusu huduma ya ugani mnafanya kwa namna ipi na taratibu zipoje? Na kuhusu mafunzo je ni bure?

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Umeuliza na maswali yangu mkuu, nadhani tumsubiri aeleze
 
Njooo huku ujib maswal tunamshamsha ya kujua details zote
 
Kama mtaipata mali mtaipata shambani safi mkuu uti wa mgongo utabak kuwa kilimo ambapo vjana inabid tugeane fursa kama hzo...
Ila kama hajatoa mchanganua sehem mtu unaweza kuongezea ujuz wako na sio kumshambulia kwa maswal ..
 
Huyu mleta uzi nina mashaka nae. Hajibu maswali ya watu na ameweka thread mbili za matangazo na zote hakuna alichojibu. Cha ajabu ni kwamba mara ya mwisho kuingia JF ni leo hii saa kumi na mbili jioni. Huyu ni tapeli, anataka watu wapige simu ili wakamatike vizuri

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Mku mnafanya shughuli za Kilimo Mkoa gani kwani kujua ni muhimu kuliko huduma zote

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom