Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wadau, kuna mzigo wa tani 1300 za mbaazi tunatafuta mnunuzi, mzigo upo gharani hapa Dar es salaam ni mbaazi za Arusha. Zinauzwa kwa 1750 kilo 1. Mawasiliano +255652601602 ( whatsapp )...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Karibu kuna kiwanja kizuri kinauzwa Maeneo ya Airport kinafaa kwa Hotel,Airport hakuna Hotel nzuri ya kisasa,Karibu uwekeze,ukubwa wa Eneo ni SQM 8914 KARIBU SANA BEI MAELEWANO..,....
0 Reactions
21 Replies
2K Views
KOKOTO BORA ZA UJENZI TOKA LUGOBA.. Tunasambaza kokoto bora kabisa kutoka Moja kwa Moja kwenye Karasha letu Lililopo LUGOBA, Kokoto zetu ni bora kabisa inayozalishwa kutoka katika Mashine za...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Natumaini hamjambo ..... Nahitaji nafaka tofauti tofauti kwa bei ya jumla toka kwenu, nafaka hizo ni kama ifuatavyo:- 1. Ngano isiyokobolewa 2. Shayili isiyokobolewa 3. Mtama mweupe (selena) 4...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
{Mini incubator 12 chicken egg, } Whatsapp/ SMS: 0682662558 PM/Inbox
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natafta mtu mwenye landrover discovery 300 manual isizidi 7m.
0 Reactions
3 Replies
794 Views
Habarini wana jamvi! Ninatafuta chumba cha kupanga maeneo ya Makumbusho, Kinondoni au Mwananyamala. Kodi isizidi elfu 50 na nitaweza lipia kwa muda wa miezi 6 tuu! Kama kipo tafadhali naomba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hi guys...ninauza ethnic bags rangi tofauti..ni nzur sana kwa wadada na vijana.. Ubora wake ni mzuri pia. Karibuni wote.. BEI NI 20,000/= TU Mzigo ni mchache. Kwa order tuma massage whatsapp...
0 Reactions
1 Replies
678 Views
Heshima kwenu wakuu Nimefungua biashara ya nguo za kiume. Na bei ya kila kitu nauza kwa bei nafuu kbs naweza sema nauza nusu bei ukilinganisha na maduka mengine. Hivyo nahitaji jina la duka ambalo...
7 Reactions
186 Replies
16K Views
Wakuu nina gari nauza Corona Premio 2007Model Specifications: 1800cc, 76000KM, Push Start, Keyless. Color: Silver. Imetoka Jana Dar er salaam bandarini na imelipiwa Ushuru na kila kitu Ipo Dar...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nyumba inapangishwa bei tajwa hapo juu. Sifa za Nyumba: -Vyumba vitatu; kimoja master -Public toilet -Tiles -Gypsum board -Dinning; sitting na jiko. -Vioo -Umeme bado -Haina uzio -Ipo Freetown...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Msaada, kidogo waungwana kwa mwenye uzoefu wa pale kiwandani.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Make : Nissani Model : Wingroad Mileage : 58,613km Engine size: 1,990cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic M/Year : 2006 Doors : 4 Seats...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu kwa anaeuza gear box ya noah a nicheck tufanye biashara!njoo pm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Karibu nauza viatu original Bei poa Kama upo dar nakuletea Mikoani natuma uaminifu 100% No zangu 0659557947 Kwa sample Saudi njooo whatsaap
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Zipo sababu nyingi zinazopelekea kupoteza watazamaji katika tovuti yako ila kubwa kuliko ni kukosa mwonekano bora katika vinasa mtandao tofauti tofauti(smart phones, tablets, laptops etc). Hivyo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama wewe ni mfanyabiashara wa kati au juu, kampuni au taasisi, basi kuwa na Website(Tovuti) ni moja ya vitu vya lazima kwa dunia ya sasa. Takwimu zinaonesha kuna zaidi ya Watanzania milioni kumi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Je design ya tovuti yako ipo responsive(responsive design-mobile friendly website)? Fahamu kuwa idadi kubwa ya watumiaji mtandao wanatumia smart phones kuweza pata taarifa mbalimbali katika...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Back
Top Bottom