Kuuza alizeti nje ya nchi

Kuuza alizeti nje ya nchi

gmail mkulima

Senior Member
Joined
Jun 11, 2017
Posts
186
Reaction score
114
Habari zenu wakuu, nimevuna alizeti yangu kama gunia 40, sasa naomba kufahamu kama ntaruhusiwa kwenda kuuza nchini kenya ambako bei nasikia nzuri nisije nikafika namanga nikapigwa stop, maana siku hizi hakueleweki nisaidieni wakuu.

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Kenya shilingi ngapi?
Uko mkoa gani?
Vipi halo ulipo shudu zinapatikana kwa wingi?
 
Kwanza nataka nijue kama naruhusiwa kwenda kuuza kenya.

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Gunia nasikia wananunua 60000tsh

Back
Top Bottom