Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Bei: 150,000/= Mawasiliano: 0625568600 Risiti yake IPO,simu imetumika chini ya miezi 4
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar wadau JF naomba kuuliza ni wap hapa Dsm nitapata Generator za 6kva au 5kva iwe Aurora,honda king max au kapor ay zozote kutoka japan na india(Diesel) kwa bei nzur(cheap kidgo)
0 Reactions
2 Replies
809 Views
Chukua sony vaio Duo 2ghz ram 250gb. Size 14. 32 bit. Display hd. pamoja na mkwanja kiasi... Nipe brand yoyote kuanzia 320gb, i3 au i5, 64 bit, ram kuanzia 4ghz, isiwe bonge( a bit slim) Betri...
0 Reactions
0 Replies
557 Views
  • Closed
Jamani asante kwa majibu yenu nimetosheka samahani sana. Mimi ni mwanachuo wa UDSM mwaka wa kwanza (BAEd) natakiwa kufanya field hapa Dar kuanzia tarehe 10/07/2017 hapa nilipo sina kitu. Hapa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu kwema, nimekaa nikawaza nikaona maisha hayatabiriki na biashara kipindi hiki zimekua kufanikiwa ni zaidi ya kupanda mlima everest, baada ya kutafakari nimeona niuze baadhi ya Mali zangu...
0 Reactions
1 Replies
602 Views
Mm ni mmoja ya wamiliki wa taasisi chipukizi ya kielimu Maeneo ya Mlandizi. Taasisi inasimamia michepuo ifuatayo; a) Nursery & Day care b) QT students c) Resisters d) English course Pia Taasisi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Paper width 80mm Print speed 200mm/s Ipo na cable zake zote Installation software ipo 250,000 tuu maelewano yapo
1 Reactions
0 Replies
480 Views
Bado ina hali nzuri kabisa.bei 4mln.simu 0659626782
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina samsung s3 tatizo ni display nipo tanga .. kwa bei ya huku ni 160 .. natafuta mwenye bei ya chini kama yupo
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Naomba msaada kufahamishwa kuhusu masoko ya asali dar na Tanzania nzima My contact Email. nsemkila@gmail.com Phone-0654013178 Au - 0624321365
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu nina incubator ya china mayai 96..haiwaki iliwaka mwezi mmoja tu na mwezi mwingine ikazima na mayai yakaharibika ..sasa naitaji mtaalamu fundi wa incubator wa songea ..au yeyote anielekeze...
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Wakuu natumaini mko salama Nahitaji simu tajwa hapo juu Nina 500k Kama unayo tafadhali njoo PM
1 Reactions
1 Replies
606 Views
+255 657 685 268 WhatsApp! Pata ramani za nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha! 1 chumba master 2 vyumba vya kawaida Sebure, Dining, jiko na...
0 Reactions
18 Replies
49K Views
Kwa mahitaji yako ya keys software na unlocking codes za kufungua simu tuwasiliane hapa. Tunauza keys za software zote ambazo ni genuine za operating system, microsoft office package na software...
0 Reactions
4 Replies
982 Views
Iwe Core i3 Au Core i5. RAM Iwe 4gb,Na HDD Isiwe Chini Ya 320Gb. Na Kabetri Kawe Ngangari Pia Sio Chini Ya Masaa Mawili (2Hours). Alienayo Anitumie Private Massage...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kampuni iliyokuwa inatengeneza Boss (Nanasi) wapi kinywaji chetu katika chupa mpya? Sifa za kinywaji hiki: *hakina harufu ya pombe baada ya kunywa (muhimu hasa unapokuwa na mtu asiyetumia pombe)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibu ujipatie Raba original Kwa bei poa Tu Bei sh 25000 Tu Size40-45 Watu Wa dar delivery [emoji403] ipo mpka mlangoni. Mikoani tunatuma pia Whatsaap/Call 0659557947
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nauza gari tajwa hapo.iko ktk kiwango kizuri sana,ni namba A lakini ni nzima sana yenye nguvu na ubora.na haijawahi kukuguswa mahala popote,body,gearbox wala engine yake.njoo PM iwapo wewe ni...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Gari iko vizuri sana na haina tatizo lolote Ina 4wd AC iko safi Automatic gear Inatumia petrol Power windows Engine CC 2800 Ina km 83,000 Model ya mwaka 1997 Bei ni milioni 7 tu. Angalia picha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom