Tunakodisha gari jipya kabisa aina ya Toyota alphard kwa ajili ya kubeba maharusi,maids na wageni wengne wanaohitaji usafiri wa dar na kwenda nje ya dar bei ni nafuu kuanzia 250000/= kwa siku bei...
Nina order kupeleka Zambia.
Tani elf 10 na itaendelea kukua kardri muda unavyozidi kwenda
Mazungumzo yanelekea Ukingoni sasa je ni yema kuagiza toka Dubai, Pakistan, India, au Kununua tanzania...
Wakuu pole na majukumu ya kila siku.
Kwakifupi nahitaji mashine ya kusanga na kukoboa kwa hapa Dar.
Nahitaji mashine kwajiri ya kusindika unga,....
Nimeambiwa na watu wengi Sana kua zipo...
Habari wakuu! Kama title inavyojieleza hapo, Simu ipo in a very good condition, Price 420K, bado mpya kabisa Ina miezi 3 tu tangu inunuliwe duiani.
Unaweza kuja DM kwa mawasiliano zaidi.
Makochi set nzima laki 3 ,hata moja moja nauza ,vitanda Kuna cha nne kwa sita na sita kwa sita vyote na magodoro yake kila kimoja 200,000,fridge laki mbili Wateja karibuni ,makabati elfu 70 kila...
Makochi set nzima laki 3 ,hata moja moja nauza ,vitanda Kuna cha nne kwa sita na sita kwa sita vyote na magodoro yake kila kimoja 200,000,fridge laki mbili Wateja karibuni ,makabati elfu 70 kila moja.
Najua wajua ila nakukumbusha tu.
Ile kazi yako unayotaka kuifanyia Translation au Editing (Ufasiri au Uhariri),
usisite kuni-pm. Yaani ni faster, effective, correct and superb.
Je ni nini?
Ni...
Yapo kibaha kwa kipofu...kilomita nne kutoka morogoro road ..umeme maji yapo zipo hekari 9..na wameshaita surveyor wanao mchoro ...ni mashamaba ya familia wameamua kuyauza wagawane urithi hakuna...
Kwa mahitaji ya vifaranga wa kuku wa kienyeji:-
Bei
Umri wa siku 1 ni Tsh 2,000
Umri wa wiki mbili Tsh 3,000
Umri wa mwezi mmoja Tsh 3,500
Tunapatikana Kanyama - Kisesa mkoani Mwanza...
kwema wakuu? km una dish na dercoder ya zamani ya zuku kwa maana zile dercoder kubwa na nyuma ina sehemu ya usb basi huna haja ya kuiweka kapuni, kuna mbinu zaidi ya kukufanya uifurahie, kwa imfo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.