Naombeni bei ya hivi vifaa wale wanaofahamu

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,367
Reaction score
55,052
Canon 1100D.

Canon hs510

Huawei Mate 8

Huawei Honor 5x

Xiaomi Redmi Note 3

Mi Red 4A.

Kwa wanaojua vifaa hivi bei zake zikoje naomba mnisaidie kuanisha bei zake.

Hata kama kuna mtu ana kimoja wapo anaweza kuniambia bei kama ataamua kuuza (used).

Asante.
 
Mkuu ni vifaa vya nini
 
Ebwana kuwa specific hiyo conon ni cartridge ya wino?
bef75eb86b6c76d5773120fafe9cfb2b.jpg
utakuwa umewrong namba mkuu
 
Canon 1100D.

Canon hs510

Huawei Mate 8

Huawei Honor 5x

Xiaomi Redmi Note 3

Mi Red 4A.

Kwa wanaojua vifaa hivi bei zake zikoje naomba mnisaidie kuanisha bei zake.

Hata kama kuna mtu ana kimoja wapo anaweza kuniambia bei kama ataamua kuuza (used).

Asante.
9k ipo tufanye biashara ya d1100 iyo?
 
Back
Top Bottom