Investing in education

Investing in education

gmail mkulima

Senior Member
Joined
Jun 11, 2017
Posts
186
Reaction score
114
Wakuu kwema, nimekaa nikawaza nikaona maisha hayatabiriki na biashara kipindi hiki zimekua kufanikiwa ni zaidi ya kupanda mlima everest, baada ya kutafakari nimeona niuze baadhi ya Mali zangu niwasomeshe watoto wangu kwenye shule zenye ubora ili hata mwenyezi mungu akinichukua watoto wangu wawe na uelewa.
Nimeona haina maana yoyote kuwa ploti na nyumba unapangisha wakati elimu ya watoto wangu inadai.
Mwenye wazo tofauti anisaidie.
 
Back
Top Bottom