Una eneo kuanzia eka 5 au zaidi, lililo umbali usiozidi kilometa moja kutoka barabara ya lami?

Conroy

Senior Member
May 23, 2014
158
44
Vigezo: ukubwa usiopungua eka 5 au zaidi, na umbali chini ya kilometa moja kutoka barabara ya lami kuanzia mailimoja kurudi dar.. kutia ndani barabara za lami zinazochepuka kutoka morogoro road?? Kama lina vigezo hivyo niendee hewani Nijulishe kwa simu 0689315582
 
Ninalo eneo hilo barabara ya Dar Msata Kidomole pembeni kwenye lami kabisa heka 9 unasemaje eneo hilo?
 
Njoo bagamoyo road utayapata mkuu. Watu wa morogoro road wote wameisusia thread yako wakiwa na maana huko hakuna hizo heka tano ukitaka bagamoyo road maeneo yapo mengi tu we nicheck any time
 
Njoo nzega tena linazamana NA lami, Ukihitaji nijulishe haps haps au pm unaweza kujenfa sheli,Makazi, Shule maana ni zaidi ya eka tano , utakatiwa kulingana NA uhitaji wako,
 
Njoo Chalinze .eneo lipo umbali mita 400 mpaka barabara kuu morogoro road.unaweza jenga kiwanda .sheli.shule ..makazi.ni kubwa la kutosha .zaidi ya heka 10
 
Back
Top Bottom