Shamba la kulima mazao gani ?Kama kichwa kinavyosema,nimepanga kuingia kwenye kilimo katika msimu huu hivyo nahitaji mtu mwenye eneo/anayefaham mtu wa maeneo hayo mwenye ekari nne na kuendelea na anakodisha anicheki PM tuyajenge
mihogoShamba la kulima mazao gani ?
mihogoUnataka kulima nini
Kumbe nako mihogo anakubali! Mm nilizani haiwezi kustahimili ukame wa jua Kali kuanzia saizi hadi mwezi wa 11mihogo
muda wa kilimo ni kuanzia 11 kwa sasa ni muda wa kuwa na ardhi yenyewe ya kulima hiyo novemberKumbe nako mihogo anakubali! Mm nilizani haiwezi kustahimili ukame wa jua Kali kuanzia saizi hadi mwezi wa 11
Usikodi mkuu nunua kabisa kwa sasa heka 1 ni laki 1 tu so ukiwa na 1m unapata 2.5 hectare na nyongezaKama kichwa kinavyosema, nimepanga kuingia kwenye kilimo katika msimu huu hivyo nahitaji mtu mwenye eneo/anayefahamu mtu wa maeneo hayo mwenye ekari nne na kuendelea na anakodisha anicheki PM tuyajenge.
heka laki?wapiUsikodi mkuu nunua kabisa kwa sasa heka 1 ni laki 1 tu so ukiwa na 1m unapata 2.5 hectare na nyongeza
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app