Ndio ni mjiniNi masasi mjini napo?
Kama ndio ,ukivipata nijulishe tafadhari J 3 natarajia kuwa huko
Ndiyo maana thread yako imekosa wadau mpaka leo.ndio ,,kwani kuna ubaya gani?
Kama ipi?Ww mbona za kwako nyingi tu hazina wachangiaji?
Kwa masasi hakuna hata nyumba inayofika elfu 60000 So utavipata tu mkuu...Natafuta chumba cha kupanga kisichozidi elfu 80 masasi mjini