Nauza kuni dsm

Nauza kuni dsm

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,051
Reaction score
52,593
Nina kuni nauza zipo Ununio kirikuu nne zinajaa, laki mbili.
Pia kama unauza tofali ninahitaji elf 2000 kesho, bei yangu mia saba.

Hili tangazo mwisho saa nne kesho.

Karibuni sana
 
Tofari Tsh. Mia Saba,,,,iyo bei ya mwaka 2010
 
Nina kuni nauza zipo Ununio kirikuu nne zinajaa, laki mbili.
Pia kama unauza tofali ninahitaji elf 2000 kesho, bei yangu mia saba.

Hili tangazo mwisho saa nne kesho.

Karibuni sana
Umekata miti hapo kwenye eneo lako unnataka kuuza si uwagaie bure mama ntilie tu...Tofali 1000 /-acha ubahili zipo kibao au fyatua mwenyewe upate moja kwa 700/-
 
Inawezekana mkuu,,Dar maeneo gani labda boss
Ni kweli inawezekana. Bei inaendana na ubora..hayo ni yale matofali ambayo ukiyasafirisha wakati wa kushusha robo yanakuwa yamepukutika. simshauri kujengea nyumba ya kuishi.
 
Umekata miti hapo kwenye eneo lako unnataka kuuza si uwagaie bure mama ntilie tu...Tofali 1000 /-acha ubahili zipo kibao au fyatua mwenyewe upate moja kwa 700/-
nitagawa tu maana mtu umekatwa kwa gharama ya kama laki nne hivi kama kuni hazirudishi hyo hela napeleka kituo cha yatima sifaidishi mtu mimi.kuhusu tofali 1000 sinunui
 
Ahahaha,,ufaidishi mtu,,,mi Nna kituo changu cha yatima pale kona ya silver sand hotel, ebu nielekeze nimtume mtu azifuate mtumishi
 
Back
Top Bottom