Nyumba ya vyumba 9 inauzwa Milioni 18

Nyumba ya vyumba 9 inauzwa Milioni 18

changwe

Senior Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
159
Reaction score
44
Nyumba ipo sanya juu kilimanjaro mtaa wa majengo.0759292980
tapatalk_1499146384704.jpeg
tapatalk_1499146381479.jpeg
tapatalk_1499146377971.jpeg
 
Sanyajuu

Sent from my H7 using JamiiForums mobile app
 
Vyovyote utakavyoita wewe la kwako liko wapi

Sent from my H7 using JamiiForums mobile app
Nyumba yangu siuzi mkuu naipenda ila hilo ni banda tu sio nyumba!Kubali kataa huwezi kuiweka kundi la nyumba
 
Nyumba yangu siuzi mkuu naipenda ila hilo ni banda tu sio nyumba!Kubali kataa huwezi kuiweka kundi la nyumba
Naona hizi ni stress za kutokua na nyumba halafu umri umeenda.pambana na hali yako mkuu

Sent from my H7 using JamiiForums mobile app
 
Iko moja inauzwa bei chee kabisa mtaa wa Wagenimwiko, jijini Kibiti. Laki tano zako tu unaondoka na self container vyumba vitatu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom