Kitimoto ya MINJAS Pub- Majengo stand, Moshi ni maridadi mwisho wa maelezo

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,561
Ukiwa mji wa Moshi Mkoani Kilimanjaro na unataka kula kitimoto bila kujutia pesa yako, fika tu MINJAS Pub- Majengo Stand, mita 20 tu toka barabara ya Moshi Dsm na ni hapohapo Stand ya hiace ya Majengo. Ukiwa unakula kitimoto yako safi, nje kuna car wash ya maana sana na ni cheap!

Kuna aina kadhaa za mapishi ya kitimoto kutegemeana na jinsi unavyopenda:-

1. Kitimoto choma

2. Kitimoto mbogamboga. Rosti ya kitimoto ikiwa na mbogamboga kama mchicha pori, matembele nk.

3. Kitimoto kavu

4. Kitimoto mvurugo

Aina zote 4 za mapishi huendana na ndizi au ugali. Bei ya nusu kilo ni TZS 4,500. Nyama maridadi sana.

Unakula zako nusu na beer zako 2,safiii maisha yananoga.

Ukifika Moshi,just jongea tu hapo uone vitu adimu vya Moshi.

Asanteni kwa kunisikiliza.
 
Kitimoto kavu.
IMG_20161110_114001_1.jpg
 
Hii kitu sijawahi tumia toka 2005.Nilijikuta naichukia tu....kila la heri walaji
 
Aiseeee!!! Kitu rost bana au
Choma af uwe na ndiz za hapo au dona


Pemben kuna bapa linakusubr haa haa
Askwambie mtu maisha n
Matamu yan bas tu

Adam na hawa walitukosea sana
 
Mai
Aiseeee!!! Kitu rost bana au
Choma af uwe na ndiz za hapo au dona


Pemben kuna bapa linakusubr haa haa
Askwambie mtu maisha n
Matamu yan bas tu

Adam na hawa walitukosea sana

Maisha matamu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom