Si kila elimu itolewayo na open ni ya masafa marefu IT inafundishwa darasani na ni mikoa 13 inayofundisha IT na pia kuna baadh ya course zinafundishwa darasani pia za level nyingine pamoja na masters
Kwa sasa huo mpango unafutwa itabidi watu wawe wanamaliza kwa muda uliopangwa maana watu wanazembea kusoma hata kipindi cha nyuma mtu anasoma degree miaka 5
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.