Msaada natafuta makazi ya kupanga

Msaada natafuta makazi ya kupanga

casagrande

Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
42
Reaction score
32
Habari wadau jamani naombeni msaada natafuta chumba na sebule ,choo chake na jiko.maeneo mazuri ukanda wa old bagamoyo road au new bagamoyo road bajeti yangu laki 2 naweza kuanza kwa kodi ya miezi 3 madalali wananiumiz anisaidieni wapendwa.
 
Walipe madalali ujira wao,hakuna cha bure mjini!
La sivyo ukubali kuacha kazi na kuanza kugonga hodi kila nyumba kuulizia makazi ya kupanga!
Be strong!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka tatizo sio pesa ya dalali tatizo unazunguushwa siku nzima alafu nyumba unazooneshwa haziendani na maelezo wanayotoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom