SHAMAC
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,340
- 3,565
Ni stori inayotrend sana hapa TZ hasa hasa kwa social media, hadi inanifanya nijione TZ nimekuja kutalii na sio ninapoishi siku zote. Cha ajabu huwa najikuta kama niko mwenyewe nisiyekua na ufahamu kamili linapokuja swala la VUMBI LA KONGO. Linapokuja swala la mjadala wa vumbi la Kongo hua naachwa nyuma sasa nimekata utepe nataka nilifahamu hasaa vumbi la Kongo.
Hili vumbi la kongo lina kuaje kuaje? Tusije pishana na gari la mishahara.
1) Vumbi la kongo lina muda gani toka matumizi yake yaanze hasahasa TZ.
2) Texture yake ikoje?
3) Ni kweli vumbi natural ama ni chemical za viwandani?
4) Lina effect gani kwenye dushe ? / Malengo yake mwilini hasa ni yapi ?
5) Matumizi yake yakoje?
6) Ni dawa ya kienyeji ama iko well packed?
7) Masharti ya matumizi yana husiana na matambiko ama ni kawaida tu kama unavyokula mikongoraa?
8) Ni kweli linatokea Kongo/ asili yake ni kongo?
9) Wauzaji ama wasambazaji wa hili vumbi ni kina nani?
10) Limetengenezwa na components zipi? Na umaarufu wake umetokana na sifa gani ya kipekee iliyokuwa nayo?
Kuuliza sio ujinga. Mwenye ujuzi kamili na haya mavumbi ya mkongo man anijuze na naamini siko peke yangu nisiyelijua hili vumbi