Kama wewe ni mfanyabiashara wa kati au juu, kampuni au taasisi, basi kuwa na Website(Tovuti) ni moja ya vitu vya lazima kwa dunia ya sasa. Takwimu zinaonesha kuna zaidi ya Watanzania milioni kumi...
Je design ya tovuti yako ipo responsive(responsive design-mobile friendly website)?
Fahamu kuwa idadi kubwa ya watumiaji mtandao wanatumia smart phones kuweza pata taarifa mbalimbali katika...
Ndugu wana jamvi nimatumaini wote mnaendeleaa poa,,
Mimi nimjasiriamali,
naishi Mbozi vwawa, nimelima soya sasa natafuta soko kama kuna mtu anaconnction ya market naomba tuwasiliane kwa namba...
mi nna nyumba naiuza ipo musese kisarawe unaingilia kongowe toka kongowe mpaka huko,Ni 20KM ipo center na Kuna makaz ya watu,imepauliwa nusu ,Ina chumba cha kulala,sitting room,kitchen,choo...
Mimi niehamia morogoro nkitokea DAR na decoder yangu ya Startimes antenna Ila haifanyi kazi kwa sababu ilisajiriwa kutumika Dar tu. Hivyo basi kwa mkazi wa Dar ambaye anatumia decoder za sasa...
Habari zenu wakuu.
Banda safi sana la kufuga kuku linakodishwa. Lipo 2 in one, dogo lina uwezo wa kuchukua kuku 300 na kubwa lina uwezo wa kuchukua kuku 500.... Jumla unaweza kufuga kuku 800...
Make : Toyota
Model : Townace Truck (T-KM51)
Mileage : 54,840km
Engine size: 1,450cc (5k)
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Manual
Drive : 4WD...
Make : Toyota
Model : Premio (ZZT-240)
Mileage : 86,790km
Engine size: 1,790cc (1ZZ)
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
Drive :
M/Year...
Wandugu Members JF,
Nimerudi tena kutangaza biashara ya nyumba yangu ambayo haijakamilika baada ya kupunguza bei na urahisi wa ulipaji kwa mhitaji.
Nyumba ipo Madale, Dar es Salaam na Kiwanja kina...
Kama nilivyofafanua kwa yule anayejua jinsi ya kuunga kifurushi cha 5000 ambacho unapewa dakika 1400 kwa mwezi mitandao yote njoo pm au nitafute 0625840448
Vunja Bei!
Latest original smartphones bei pouwa
Brandnew Samsung Galaxy C9
Rose Gold Color
Ram 6GB
Storage 64GB
Bei pouwa...1.4mil
Brandnew LG V10
Color Blac & Silver
Ram 4GB
Storage 64GB
Bei...
Mwadela vangosha na wamayi!
Naomba mwenye hiyo bizaa nauliza nina mkwe anakuja sasa sina king'amuzi na nataka akija apate hata cha kuangalia, hua nina sabwofa na cd tu tena za movie.
Wakuu hali...
Wasiliana nami kwa simu 0764426929,0655726929 na 0742188846
Yanapatikana mkoani NJOMBE ktk tarafa ya Lupembe
Ardhi tupu kwa ekar ni tsh laki moja tu
Na lenye Miti zipo ekar 12 bei ni million 12...
[emoji412] *TEAM* *SOLUTION* *CONSULTATION* [emoji412] KWA HUDUMA ZA (NYARAKA MBALIMBALI)
-BUSINESS PLAN(mchanganuo wa biashara) - kuanzia 400,000.00...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.