Habr wana Jf.
Kiwanja kina ukubwa wa mita 32 kwa 30.Bei 4.4m cash.
Mnakaribishwa,ni maeneo ya makazi,watu tayari wanaish,.umeme na Maji viko jirani kufika..Anae hitaji tuwasiliane,.
habarini.
tumeshuhudia wananichi wakiboreka kutazama filamu za tanzania kwa kuwa za kiwango hafifu kulinganisha na zile za hollywood. kama hollywood mbali basi hata hapo kenya.
unadhani tatizo...
Habari zenu wana JF naombeni msaada wenu kwa yeyote yule anaye fahamu nafac za JKT na Polisi zinatoka lini mbona mwaka huu wamechelewesha na wanaangalia vigezo vp kwa anaye fahamu basi anifahamishe.
*HAPPINESS MASSAGE SERVICES*
Tunatoa huduma bora za massage ndani ya Lamada Hotel & Apartments
Mbali na huduma za massage tunazo bidhaa zenye ubora wa hali ya juu katika kuponya maradhi sugu kama...
New brands...
Delta electric and gas cooker=350,000/=
Haier smart tv 50inch=1,100,000/=
Samsung home theatre=500,000/=
Location:morogoro mjini
Kwa maelezo zaidi piga no:0625964265
Karibuni sana
Napangisha nyumba ipo kiluvya kwa komba dk 2 mpaka barabara kubwa morogoro road, nyumba ina vyumba vitatu kimoja master bedroom na public toilet, sebule,jiko na dyning
Bei maelewano tuwasiliane...
Habari za humu.
Kuna eneo la kiwanja linauzwa.
Lina ukubwa wa mita 38 kwa mita 20.
Eneo lipo lusando, mlamleni.Ikiwa kama unakwenda barabara ya kilwa,ukifika kongowe unaingia kulia.
Bei...
Wana jf,
Nataka nihudumie wenye dharura anayehitaji sh. 50,000 hadi sh 500,000 a pm, mkopo huu utauridisha ndani ya wiki 12 kwa riba ya 6% ila dhamana iwe na thamani ya kitu mara 4 ya mkopo
Karibuni
Wakuu natafuta moja wapo ya gari hizo hapo juu. Iwe imesajiliwa karibuni namba D, ikiwa na 4WD itakuwa poa zaidi. Kama ina tatizo lolote la kurekebisha ni vema unitaarifu kabla sijaja kuikagua...
Denso Rotor Head OEM number
096400-1240 for TOYOTA 14B (VE4/12R) and
096400-1250 for TOYOTA 3L (VE/10R)
zinauzwa kwa bei ya 250000tsh (Negotiable), popote ulipo nchini unatumiwa.
Contacts...
bei ni million nane na nusu
Kwa mawasiliano whatsap 0764426929,0742188846 na 0655726929
Miti IPO mkoan NJOMBE ktk tarafa ya Lupembe
Shamba linauzwa pamoja na ardhi
Karibuni katika mtandao mpya wa SautiYanguForum ( sautiyanguforum.com ). Huu ni mtandao ambapo watu hupashana habari, kutoa maoni na kujadiliana kuhusu mambo mbalimbali.
Ukitaka kujiunga nasi...
[emoji412] *TEAM* *SOLUTION* *CONSULTATION* [emoji412] KWA HUDUMA ZA (NYARAKA MBALIMBALI)
-BUSINESS PLAN(mchanganuo wa biashara) - kuanzia 400,000.00...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.