Mkuu wewe vipi??Weka bei kupunguza maswali
Weka beiKama unahitaji kiwanja kipo Mbweni Mpiji karibu na Shule ya kimataifa Mt Everest,kina hati sq mita 645 maji umeme on sight.contact 0654347423 sasa usichelewe sawasawa?[emoji109]
Tshs 32 m within budget?Weka bei
Tshs 32 mWeka bei kupunguza maswali
Hakuna pichaweka picha, PICHA PICHA PICHA
Kama unahitaji kiwanja kipo Mbweni Mpiji karibu na Shule ya kimataifa Mt Everest,kina hati sq mita 645 maji umeme on sight.contact 0654347423 sasa usichelewe sawasawa?[emoji109]
haya bana, 32mil? sq m 640?Price 32 m tu upo highest offer secures
Post sent using JamiiForums mobile app
Sawa yako ni ipi ya mfuko wako weka ubaoniSquare meter moja sawa na 50,000/- kwa bei unayouzia.
Hii si sawa Mkuu
haya bana, 32mil? sq m 640?
ikishuka hadi mil 12 utani pm
Ntanunua mwenyewe bei hiyo aiseehaya bana, 32mil? sq m 640?
ikishuka hadi mil 12 utani pm