Wakuu nina incubator ya china mayai 96..haiwaki iliwaka mwezi mmoja tu na mwezi mwingine ikazima na mayai yakaharibika ..sasa naitaji mtaalamu fundi wa incubator wa songea ..au yeyote anielekeze...
+255 657 685 268 WhatsApp!
Pata ramani za nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha!
1 chumba master
2 vyumba vya kawaida
Sebure,
Dining, jiko na...
Kwa mahitaji yako ya keys software na unlocking codes za kufungua simu tuwasiliane hapa. Tunauza keys za software zote ambazo ni genuine za operating system, microsoft office package na software...
Iwe Core i3 Au Core i5. RAM Iwe 4gb,Na HDD Isiwe Chini Ya 320Gb. Na Kabetri Kawe Ngangari Pia Sio Chini Ya Masaa Mawili (2Hours).
Alienayo Anitumie Private Massage...
Kampuni iliyokuwa inatengeneza Boss (Nanasi) wapi kinywaji chetu katika chupa mpya?
Sifa za kinywaji hiki:
*hakina harufu ya pombe baada ya kunywa (muhimu hasa unapokuwa na mtu asiyetumia pombe)...
Karibu ujipatie Raba original Kwa bei poa Tu
Bei sh 25000 Tu
Size40-45
Watu Wa dar delivery [emoji403] ipo mpka mlangoni.
Mikoani tunatuma pia
Whatsaap/Call 0659557947
Nauza gari tajwa hapo.iko ktk kiwango kizuri sana,ni namba A lakini ni nzima sana yenye nguvu na ubora.na haijawahi kukuguswa mahala popote,body,gearbox wala engine yake.njoo PM iwapo wewe ni...
Gari iko vizuri sana na haina tatizo lolote
Ina 4wd
AC iko safi
Automatic gear
Inatumia petrol
Power windows
Engine CC 2800
Ina km 83,000
Model ya mwaka 1997
Bei ni milioni 7 tu.
Angalia picha...
Hi
Naomba ushauri nataka kununua water pump ajili ya kilimo .
-eneo ni heka 2
-ainagani ni nzuri
-spea upatikanaji
-utumiaji WA mafuta
Majibu yatoke kwa wakulima au walio isha Fanya kilimo cha...
Habari zenu nauza asali nzuri na fresh kwa afya yako
Asali ukichanganya na mdalasini inatibu maumivu ya tumbo
Inatibu kila aina ya magonjwa na inakupa afya njema
Ninauza sh13,000/= kwa lita moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.