Nauza mizani

Nauza mizani

OckyT

Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
52
Reaction score
39
Wakuu nauza mizani nipo Morogoro ina uwezo wa kupima kilo 10 ni ya kisasa imetumika miezi mitatu tu naiuza kwa 130,000/= Karibuni sana. Kwa mwenye uhutaji anicheck pm
 
Mzani upi? Wa kupima mazao kwa kukalisha?? Au wa kupima bidhaa kwa kiwango kidogo dukan Kama sukari, mchele nk??
 
Back
Top Bottom