Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Haya jamani anayehitaji fundi umeme wa majumbani yupo hapa sio wa mtaani. ni kutoka kampuni Hana bei sana(wayaring ya umeme na marekebisho yuko vizuri mawasiliano(0621058954) Sent using Jamii...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana jf, naomba kujuzwa bei za ving'amzi vya star times vile vdg vya antena
0 Reactions
3 Replies
5K Views
ram 4gb hard disk 500gb intel inside betri 2hrs BEI 320,000 tu mawasiliano 0717 351717 au 0782 780980
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Zote mbili Tigo na Voda kwa laki 3... Napatikana Kongowe-Kibaha.. Njoo PM tuyajenge.
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Wadau natafuta shamba dogo nje kidogo ya mji kwa ajili ya ufugaji wa nguruwe, kuku na samaki.Naomba mwenye kujua eneo ambalo nitafuga viumbe hivyo bila kubuguziwa anisaidie nifanikishe.
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Iphone 6 mpyaa naihitaji ASAP Offer: 500k Njoo inbox
0 Reactions
12 Replies
928 Views
Site ya biashara inakodishwa Arusha. ni site nzuri yenye nyumba ndogo self ya two bed room, sitting room, jiko, choo, bafu na store. Pia ina jengo dogo la ghorofa moja halijakamilika (under...
0 Reactions
3 Replies
914 Views
wapendwa,, karibuni nafanya huduma ya kufua nguo kwa kutumia mashine na kupasi. Bei zangu ni nafuu kuanzia 1500, napatikana mabibo makuburi, ubungo Dar es salaam , maeneo yote ya Dar nafata nguo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni used haina tatzo lolote,Nyeusi,internal 16GB,RAM 1 GB.. Camera mgpxl 8 ,bei laki na nusu150
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wadau, bila kupoteza muda nimeleta biashara hapa ili mwenye ufahamu aniambie imekaaje ili tupige kazi! Kuna jamaa yangu ndugu yake yupo nje ya nchi, Amempigia simu jamaa na kumuomba Atafute...
1 Reactions
2 Replies
705 Views
Hp notebook *Windows 8.1 pro ( 32 bits) *Ram 2 gb *HDD 300 GB *Processor Intel Core 2 Duo *Battery Life: 4 hours. *Used but in good condition. *Location....Mwanza *Contact 0754995752...
0 Reactions
3 Replies
827 Views
Habari zenu wapendwa,, karibuni nafanya huduma ya kufua nguo kwa kutumia mashine na kupasi. Bei zangu ni nafuu kuanzia 1500, napatikana mabibo makuburi, ubungo Dar es salaam , maeneo yote ya Dar...
1 Reactions
3 Replies
615 Views
Jipatie unga bora wa mbegu za maboga kwa sh 5000/=(robo),sh 10000/=(nusu),sh 20000/=(kilo).Ukihitaji tupatie mawasiliano yako. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
20 Replies
13K Views
Ina tiles, gypsum, Maji yapo na luku watu wawili. Bei Tshs 250,000 Wasiliana: 0713226191 / 0752953860
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nyumba zilizoshikana zinapangishwa Kunduchi Mtongani √ Vyumba2 (masta1), sebule, jiko fitted, choo public. Luku unajitegemea, maji yapo. Bei laki4/mwezi- Miezi6 √ Vyumba2, sebule...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Karibu sami home Graphics design ... Tuna design Logo, Lebo kwa wajasiliamali, Matangazo ya mtandaoni, Business card, rollup banner,catalog, hotel & restaurant menu, business proposal,company...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
HABARI, za mchana leo nataka nikufundishe somo dogo kuhusu afya yako. Kuna wakati tumekuwa tukiambiwa tu kuwa asali ina faida kubwa katika mwili wa binadamu lakini hatujafahamu umuhimu huo wa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Natafuta nyumba ya kupanga, iwe na Chumba Kimoja cha kulala, kikubwa cha kujitosheleza, Sebule, Choo na bafu vya kujitosheleza kiukubwa,sio vilivyobanwa sana. Jiko kubwa kiasi la kujitosheleza...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Nauza dagaa wa chumvi (dagaa wa Zanzibar) Napatikana dar mbagala kg. tsh.5500/= mawasiliano 0717280366 karbuni kwa wanaohitaji
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nauza nikon d3000 Lens 55-200 mm Nakupa charger yake Battery la uhakika Memory 4gb Bei 650,000 Anayehitaji mawasiliano 0674982656 Karibu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom