Nunua asali mbichi, bei rahisi

Nunua asali mbichi, bei rahisi

asanteelimu2016

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
248
Reaction score
146
HABARI, za mchana leo nataka nikufundishe somo dogo kuhusu afya yako. Kuna wakati tumekuwa tukiambiwa tu kuwa asali ina faida kubwa katika mwili wa binadamu lakini hatujafahamu umuhimu huo wa asali kiundani. Mimi stallone (mfalme wa nyuki) nimechambua baadhi ya faida za asali katika mwili wako

1- Hivi unajua ugonjwa wa mafua ndio ugonjwa ambao huwakera na kuwanyima watu wengi raha?
Imegundulika na wataalamu kwamba mafua hupungua na kupotea kabisa ikiwa utatumia kijiko kimoja cha chai cha ASALI na maji ya vuguvugu yaliyochanganywa na robo kijiko cha chai cha mdalasini.

Mtafiti mmoja wa Hispania amethibitisha kwamba, aina ya dawa asilia iliyofanikiwa kuharibu vimelea viletavyo mafua ilitengenezwa kwa kiwango kikubwa cha asali.

Kwa mahitaji yote ya asali mbichi halisi kutoka kwetu kwa bei ya
Lita 1- Tsh 11,000
Lita 5 -Tsh 53,000
+255 (0) 654 846 084

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natengeneza lebo pamoja na dizaini nyingine utakazo zihitaji whasapp 0718446321 tunakufikishia popote ulipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom