Nafanya huduma ya dry cleaner's

mama love

Member
Nov 28, 2016
19
13
wapendwa,, karibuni nafanya huduma ya kufua nguo kwa kutumia mashine na kupasi. Bei zangu ni nafuu kuanzia 1500, napatikana mabibo makuburi, ubungo Dar es salaam , maeneo yote ya Dar nafata nguo na kuzirudisha bure kabisa. Karibuni pm kwa maelezo zaidi karbu pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom