komba05
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 367
- 293
Habari wadau, bila kupoteza muda nimeleta biashara hapa ili mwenye ufahamu aniambie imekaaje ili tupige kazi!
Kuna jamaa yangu ndugu yake yupo nje ya nchi, Amempigia simu jamaa na kumuomba Atafute mtu ( dalali) ambae anajua sehemu itakayoweza kupata apartment ya kununua walau ya vyumba vitatu (Kama wafanyavyo NHC) Hivyo ambae anafahamu apartment inayouzwa afunguke hapa ikiwezekana na picha! Then Tufanye kazi! 0743941142!
Nb: Iwe walau Mikocheni, Mbezi beach, Upanga nk yaani kusiwe uswazi kiviile!
Sent using Jamii Forums mobile app