Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

wapi nitapata wino wa kujaza catridge (hp) kwa bei nafuu,Arusha?
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Nauza spika za music kwa sherehe za ukumbini au nje ya ukumbi hizi spika zinafaa kwa wanaopiga music wa sherehe, kwani ziko nne mid range mbili kila moja ikiwa na spika za Candy mbili na base...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Natafuta Camera mwenye nayo aweke namba hapa nimcheki NIKON 3200,5100,AU 5300 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu Ninauza kiwanja kiko maeneo ya kisasa dodoma mjini.kimepimwa na kina hati na kina pagale ndani yake.kiko block E na plot no.25!!! Kiko umbali wa kama mita 130/170 toka barabara kuu ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za muda huu, kwa wapenzi wa ubuyu na wajasiriamali.. Nauza ubuyu kutoka Zanzibar kwa elfu 33 tu ndoo ndogo ya lita 10,ubuyu Mtamu.. Na napokea oda kwa idadi unayoitaka.. Ubuyu unapikwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nina kahela kidogo nataka nikazungushe kwenye m pesa labda nami nitainuka kiuchumi.kama una laini ya m pesa nami niwe wakala wa m pesa njoo kwa 0752640448.niko Arusha Sent using Jamii...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Habari ya wakati huu wakuu, Naomba kwa anayefahamu garama ya kutoa gari badari ya Dar es Salaam anisaidie, kama TRA, clearing and forwarding nk. Je dumping fee inatozwa kwa gari za kuanzia mwaka...
1 Reactions
0 Replies
743 Views
Slightly used Color - White Plug and play (no need for drivers CD) Power cable and connection cable (included) Compatible with 85A cartridge Price - 180,000/= Contact: 0756 879534 Availability - DSM
0 Reactions
0 Replies
558 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta fundi wa laptop aliyeko Arusha. Laptop yangu inaunguruma sana ninapoiwasha pia baadhi ya button hazifanyi kazi. Kwa yeyote mwenye utaalamu naomba...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Specifications >Iwe mpya >Iwe na cover >Iwe na charger na phones Bei 800000 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Kama kichwa cha uzi huu kinavyojieleza Wakulima wa karanga Tanzania, kijana wenu Diamond katangaza neema hiyo ya kununua karanga. Mahitaji yao ni tani 100 kila mwezi na sifa za karanga zipo...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
Gari rav4 inauzwa, kwa anayehitaji tuwasiliane kwa taarifa zaidi, muuzaji anapatikana kwa 0784287546. (Only for serious buyer) Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kila punje moja katika pakiti ya diamond karanga unainunua kati ya Tsh. 15 - 18, kabla ya kutoa gharama za uzalishaji. Zinatakiwa kuwa 20, sema ndio hivyo unaweza kukuta hadi 16 katika pakiti...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Viwaja vinauzwa kibamba,mbezi,chanika kibaha,mbagara,tabata,bunju, bei kuanzia laki nane hatua 25 kwa 25 mawasiliano 0717342414/0764816096/0788492588 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Naitaji thermal printer mwenye nayo au anaejua napoeza kuzipata pliz nisaidie. Tufanye biashara... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Kuna mtu yupo South Africa nahitaji anitumie mzigo, naombeni mnisaidie njia rahisi anayoweza kutumia nikaupata mzigo kirahisi pia! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
906 Views
Wazee nasikia kuna watu washakamata mshiko wa makinikia,msikremu sio lazima Noah chukua Ist hii hiyo 5.3 fanyia mambo mengine . Hata wale mtaani kwao mademu wanashoboka na D ndio hii nimewaletea...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nauza dvd player na subwoofer (pichani) bado ni mpya kabisa nimetumia miezi 2 risiti za manunuzi ninazo na cable zake zote zipo. Subwoofer inasoma flash disk, memory card pia ina fm radio. Dvd...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Vinauzwa kwa pamoja hivyo vitu vikiwa ktk ubora wake,kwa mwenye UHITAJI bhas plz anakaribishwa INBOX na sio kwenye comment if ur serious na una swali lolote bhas karibu inbox Anahitajika mnunuzi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa kipo mbagala kongowe -mlamleni .Kutoka barabara ya lami ni dk 15 kwa mwendo wa gar. Ukubwa wake ni 20/20 Bei imepungua kutoka mil 3. Ukihitaji kupaona utapelekwa...
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…