Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,700
Wazee nasikia kuna watu washakamata mshiko wa makinikia,msikremu sio lazima Noah chukua Ist hii hiyo 5.3 fanyia mambo mengine .
Hata wale mtaani kwao mademu wanashoboka na D ndio hii nimewaletea.
Kuna wale wazee ndoa zimeyumba,vumbi la mkongo pekee haliwezi kuokoa ndoa,mshtukize na Ist hii uone ndoa itakavyonoga ,sio lazima Range hata hii atakushukuru.
Hamuamini???jaribuni bas nitafuteni kupitia 0689699704 nikuachie gari kwa milioni 8.7.
Sent using Jamii Forums mobile app