Subwoofer na DVD player zinauzwa

Blacklist

Member
Oct 11, 2014
46
11
Nauza dvd player na subwoofer (pichani) bado ni mpya kabisa nimetumia miezi 2 risiti za manunuzi ninazo na cable zake zote zipo.
Subwoofer inasoma flash disk, memory card pia ina fm radio.
Dvd player inasoma cd/dvd aina zote pia ina option ya flash disk.

Bei kwa zote 110,000/= tuu. Ukitaka mojawapo tutaelewana bei.

Kwa anayehitaji nichek hapa
0626 852910, Nipo tabata Dar.
6ba1a9f6109960133d428d88eed2c8fa.jpg

dc937a058e24c0a1d1decb4be3982a4a.jpg

9d370e065064da95fe288c95c248e53e.jpg

6b45927731786af7bf198d8d21260ee8.jpg
 
Nipo musoma mimi nawezaje kuzipata!?
Vipi naww umo kwenye orodha?
 
Huku mtaani kwetu vitu kama hivyo vinauzwa kwa wingi sana tena bei mbaya....na bado wale wenye vyeti feki nao wataanza kuuza kimoja kimoja kwa mitaa
 
Mkuu spika zake hazikwaruzu kama mende kaingia!!!! Miez miwili kwa redio ya Mchna ni mingi??
 
Back
Top Bottom