Jipatie ubuyu kutoka elfu 33 tu

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Jan 22, 2014
576
263
Habari za muda huu, kwa wapenzi wa ubuyu na wajasiriamali.. Nauza ubuyu kutoka Zanzibar kwa elfu 33 tu ndoo ndogo ya lita 10,ubuyu Mtamu.. Na napokea oda kwa idadi unayoitaka.. Ubuyu unapikwa baada ya kuweka oda hivo ni fresh karibuni sana na idi ndo hiyo inakuja tuchangamkie fursa... Kwa Dar es salaam unaletewa mpaka ulipo moja kwa moja kutoka bandarini sms or whatsapp no 0713763595
 

Attachments

  • downloadfile.jpeg
    downloadfile.jpeg
    203.2 KB · Views: 77
Kwa leo Kuna mzigo unaingia Dar asubuh hii jumatatu kwa njia ya meli Kuna ndoo moja tu ndogo haina mteja hivo unaweza kuiwahi asubuh hii hii ukaletewa direct kutoka bandarini oda zingine zitaingia ijumaa weka oda na mapema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom