Hello nauza godoro sita kwa sita upana nchi sita kwa 80000 ,pia nauza carpet la manyoya zito na zuri kbs bei 60000 na pia Nina fridge kubwa la familia nauza 300,000 karibuni sana kwa atakayehitaji...
Bati la CORRUGATED COLORFULL/MIGONGO MIDOGO ZA RANGI
Bati la migongo midogo la rangi(corrugted colorfull) ni bati kama lile la zamani la silver,sema haya yanatengenezwa na coil yenye rangi...
Toyota Alphard 2003
Color Pear, CC 2360, AB ABS AW RS FOG HID NV B-MONITOR
Total cost Tsh 14Mil Pamoja na ushuru
wasiliana kwa:
call/whatsapp: +255715471659
Kichwa cha thread hapo juu chahusika.
UHITAJI: Shamba lenye ukubwa kuanzia ekari 5.
SIFA: Liwe karibu na chanzo cha maji.
Liwe ndani ya Manispaa ya Morogoro, Wilaya ya Morogoro vijijini au...
Tunatengeneza mashine za kuzalishia vifaranga kwa bei nafuu kabisa. Mashine zetu ni nzuri na zenye uwezo zaid na hatching capacity yake ni asilimia 97. Mashine zetu zipo popote pale kwa maana...
Kichwa cha thread hapo juu chahusika.
UHITAJI: Shamba lenye ukubwa kuanzia ekari 5.
SIFA: Liwe karibu na chanzo cha maji.
Liwe ndani ya Manispaa ya Morogoro, Wilaya ya Morogoro vijijini...
Jamani natafuta mwenye utaalam au mtaalam wa maswala ya mapishi ya vitu adimu adimu kama vile cake za aina tofauti, na bites bites za aina tofauti, n.k, tufanye kazi kisasa zaidi.
Unaweza kuweka...
Viwanja viwili vilivyoshikana vya mita 20 kwa 20 (yaani ni kiwanja kimoja cha 20 kwa 40) vinauzwa.
Viko sehemu nzuri sana Olasiti Arusha. Ni kama mita 700 tu kutoka barabara kuu inayotoka...
natafuta wateja wanaotaka unga wa samaki(panki) kwa wateja wa Dar
unga huu hutumika kama chakula cha
.kuku na nguruwe
mawasiliano Ni 0762655938
au 0718969767
Nina shida na decoder ya canal + mtu pekee ninayejua anaweza kunisaidia ni lukiko wa kirumba. Jamani kama una mawasiliano naye npm namba yake. Ni mtu muhimu kwangu Kwani nlikuwa naye kwenye group...
Habari zenu wakuu.
Nilifanya research juu ya Alizeti kwenye maeneo yafuatayo:
1.Upatikanaje wake
2.ukamuaje wa mafuta yake na gharama za kiwanda
3.Soko lake na mbadala wake
4. Namna ya kuwakabaili...