Nauza viwanja 4 vimepimwa vipo Mapinga eneo la kiharaka kimoja kina nyumba ya vyumba 3 kuna umeme wa Tanesco na kuna kisima kimechimbwa.Nyumba ya pili ina vyumba vi nne vya kupangisha.
Kama...
AAnaehitaji viungo halisi vya kupikia chai, pilau na mboga mbalimbali, viungo ni halisi kabisa, pia Tunasambaza matunda ya aina zote ukihitaji tunakufikishia mpaka ulipo, kwa mawasiliano...
Wakuu poleni kwa majukumu ya kila siku na mihangaiko yoote.
Nirudi kwenye topiki. Nina asali ya nyuki wakubwa kiasi cha debe 10. pia nina nta. Vyote hivi vinauzwa. Niko hapa Dar. Naomba kwa...
Hbr wadau,
Naomba kuuliza, decoders za bein sport kwa Dar es Salaam nani anauza?
Hao jamaa naona wako vizuri sana mikoani kwa watoa huduma za cables, nilitaka kupata decoder yao hapa dsm
Suluhisho pekee kwa wasomi for any Technical assistance and Training in research issue,bussines planning,proposal,project planning etc wasiliana nasi....Tupo Ukonga Dar
Sent using Jamii Forums...
Shamba lipo Mizani(Nala) Dodoma mjini karibu na chuo kipya cha biashara. Umbali wake toka town centre hazizidi kilomita 13 na toka barabara ya lami ni kama mita 700/800. Hati yake ni ya...
Mwenye kutaka nyumba ya kupangisha.
Nyumba ipo Mbezi mwisho. Ni kituo cha tatu kutoka Mbezi stand mpya kama unaelekea morogoro.
Ina masta moja.
Sitting room na vyumba vingine vinne.
Choo na...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema.<br /> Kwa wenye mahitaji ya uyoga mkavu na mbichi tutakufikishia popote ulipo (Dar pekee) kwa bei nafuu kabisa<br />Pia tunatoa mafunzo ya...
●Are you residing in Dar Es salaam and Pwani and you need master of ceremony for your event?
●Vitality ceremonial inc brings to you group of MC at reliable negotiation.
■Contact us through...