Itug
Senior Member
- Mar 19, 2011
- 198
- 73
Mwanangu amevunja tv yangu ya inch 40 kwa kuipiga na remote! Na kwa bahati mbaya imevunjika screen kama inavyoonekana ktk picha hapa chini [emoji116]ninaomba msaada kama kuna mtu anayo au anamjua mtu mwenye tv ya namna hiyo ambayo haifanyi kazi ila screen yake ni nzima au anajua namna ya kunisaidia kupata screen anisaidie!
Tazama picha hapa![emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
TheBigBoss
Tazama picha hapa![emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
TheBigBoss