Habari zenu wana JF
Nauza viti vilivyotumika. vimetumika miez 3. Ni vizuri kwa kukodisha kwenye shughuli kama harusi, mikutano, semina, misiba, nk. Vipo viti 200. Vinapatikana Iringa mjini. Bei...
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 5 kutoka Million 8...
Habari zenu,
Naomba kuuliza eti simu ya Android aina ya wiko jelly ni shiling ngapi bei yake kwa anaejua anisaidie.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pendeza kwa kuvaa viatu vikali vya mtumba kwa bei nafuu, jiunge kwenye group letu kupitia link hii hapo chini uweze kupata picha za kazi pindi tunapozipata
viatu
ABOUT: inacheza CD aina zote haichagui, mic, flash, bluetooth unacheza mziki kwa simu ukiwa umelala kwenye kochi, mdundo mzito mno. Cable zote zipo na mashine ni mpya unakabidhiwa ndani ya box lake
Habari wanajamii,
Nilikuwa na wazo la kutengeneza mikoba ya ngozi orignal.
Naomba msaada kujua upatikanaji wa ngozi, nipo Dar es Salaam.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Wana Jamii forum wenzangu,
Ninaandaa na kusambaza kuku wa kisasa kwa order majumbani, yaani ninachinja mwenyewe, ninamnyonyoa na kumsafisha vizuri, pia nina mkatakata na kumpack kuku...
Wakuu tuna mahitaji ya materials za kuchanganyia chakula cha mifugo kwa bei ya Jumla.
Tuko Dar es salaam.
1. Mashudu ya Alizeti 5 Tons
2. Dagaa 3 Tons
3. Pumba Gunia kuanzia 20
4. Chokaa 1000...
Habari Wana JamiiForums wenzangu, natumaini Mu-wazima,
Ninaandaa na kusambaza kuku wa kisasa kwa order majumbani, na kwingineko, yaani ninachinja mwenyewe, ninamnyonyoa na kumsafisha vizuri, pia...
Habarini ndugu zangu!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji supplier wa prawns mwenye uzoefu mzuri na ambaye yuko tayari kufanya biashara katika mazingira ya uaminifu naomba...
Nauza shamba langu lenye ukubwa wa Ekari 20. Lina mazao Ekari nne nanasi na passion. Eneo lingine huwa nalima muhogo. Muhogo unastawi sana. Shamba lipo BUNGU, KIBITI, pwani. Kuna banda la...
Wakuu habari za majukumu.
Ninatafuta mashine ya kufungia malisho ya mifugo (baling machine)
aina ya CLAAS au NEW HOLLAND
Tafadhali tuwasiliane iwapo unayo au unamfahamu aliyenayo
Sheets To_Go ni mashuka kutoka Kampala-Uganda,,ni pure cotton(pamba 100%)
8*8 @80000(shuka 2 na foronya 4)
Jumla kuanzia pea 10
8*8 @65000
Gharama ya usafiri juu ya mteja,na waliopo mikoani...
kutokana ongezeko la matumizi ya internet leo ni rahisi sana kupata ratiba ya mambo mbali mbali kwenye mitandao hivyo nimekuletea ratiba za usafiri wa mabasi ambayo ni NDENJELA JET,
HAPPY...
Habari wadau wa kusaka mafanikio ya halali kwa nguvu zote.
kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, tafadhari ambao wako katika maeneo ambayo yana fursa za kufanya biashara inayohusiana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.