Lotion ya kiume

Lotion ya kiume

Travuhler

Senior Member
Joined
Nov 13, 2015
Posts
155
Reaction score
101
Natafuta lotion nzuri ya kiume,Nina chunusi usoni,ngozi yangu ina mafuta.
 
Me natumia nivea mkuu ni mazuri sema inabidi ujue ngozi yako ikoje kama ni kavu au ni ya mafuta au nyinginezo ....nivea zipo za aina nyingi kuna cool kick,n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom