X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,719
- 14,847
kutokana ongezeko la matumizi ya internet leo ni rahisi sana kupata ratiba ya mambo mbali mbali kwenye mitandao hivyo nimekuletea ratiba za usafiri wa mabasi ambayo ni NDENJELA JET,
HAPPY NATIONAL NA
SAIBABA EXPRESS
sio nia yangu kuwatangazia biashara hawa watu ila ni kutaka kuwarahisishia wasafiri ili ukifika pale uende kwenye offisi sahihi maana nachukizwa sana na wale jamaa pale ubungo ambao eti wao huwa wapokeaji wa wageni ukifika wanaanza kukuuliza unapoenda utazani mtu ujui kusoma. VILE VILE KAMA KUNA BASI LENYE HUDUMA NZURI UNAWEZA UKALITAJA BAADA YA MUDA NITALETA RATIBA YA HILO BASI
Nimejitahidi kuchora majedwali humu nimeshindwa ila ukitaka kupata ratiba ya bus kati ya hayo niliyo andika hapo juu unaweza kulibonyeza hilo jina litakupeleka moja kwa moja kwenye jedwali lenye hiyo ratiba.
Kuna ugumu mkubwa sana niliupata kipindi naanda huo mfumo ambao kwa kiasi fulani nimeshindwa kuendelea kwani baadhi ya matajiri wa mabasi niliokuwa nawafata walinichukulia mimi kama taperi. hivyo nitajitahidi kuendelea kutafuta mabasi yenye matajiri waelewa kisha nitawaletea ratiba zao ili kurahisisha upatikanaji wa usafiri.