Tujuzane maeneo yenye msimu wa kuvuna mazao

LuisMkinga

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
3,157
6,054
Habari wadau wa kusaka mafanikio ya halali kwa nguvu zote.
kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, tafadhari ambao wako katika maeneo ambayo yana fursa za kufanya biashara inayohusiana na msimu wa kuvuna mazao.

mfano,
biashara ya kusafirisha mazao toka shambani kwenda kwenye maghala ( stores).
biashara ya kuuza viroba/magunia ya kubebea mazao.
biashara ya kuuza bidhaa ambazo shambani hazipo zinazotoka mjini.
na biashara nyinginezo zifananazo na hizo
 
Back
Top Bottom