Barcode
Member
- Aug 9, 2017
- 35
- 62
Habari wakuu
Natafuta one bedroom apartment in short term lease/rent One Month only maeneo ya Michenzani, Kikwajuni, Mtendeni, Mlandege , Kilimani ama Kwa Mchina Mwisho. Nategemea kuwepo Zenj Sept kikazi. Mwenye information anijuze tafadhali, natanguliza shukrani.