Mayai ya kuku wa kisasa yanaitajika

Mayai ya kuku wa kisasa yanaitajika

shumbuo

Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
41
Reaction score
24
Habari wapendwa naitaji mayai ya kuku wa kisasa kwa wiki naitaji trei 100 za mayai kwa mwezi naitaji trei 400 napatikana dar-es-salaam posta mpya mtaa wa jamhuri kwa mawasiliano 0676918508
 
Dah nina kuku mia saba wa mayai sema bado hawajaanza kutaga makadirio mpaka mwezi wa kwanza ngoja nisave tu namba yako for future.

sent from kuzimu
 
Habari wapendwa naitaji mayai ya kuku wa kisasa kwa wiki naitaji trei 100 za mayai kwa mwezi naitaji trei 400 napatikana dar-es-salaam posta mpya mtaa wa jamhuri kwa mawasiliano 0676918508
mkuuu umeshayapata nikuletee sahv
 
Back
Top Bottom