Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu waungwana Ninauza kiwanja changu kilichoko nje kidogo ya jiji la Tanga ukivuka tu mizani ya pongwe kijiji kinachofuatia kinaitwa KILAPULA, kina ukubwa wa 40/50 yaani upana 40. No...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello, jamani visheti vya Nazi hivyo Kikopo 1000 (Delivery kuanzia vikopo 5 na unanichangia nusu ya nauli) Jumla 800 kuanzia PC 30 Location Ubungo Call 0714547830 invest what you are...
4 Reactions
28 Replies
11K Views
Pata genuine software ya Microsoft office 2016 kwa bei sawa na bure. Pia pata installation ya genuine Microsoft windows 10, 7 ama 8 kwa bei sawa na bure. Utapata software hizo kwa bei rahisi na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nipo Mbezi beach bei 330 (negotiable) cont: 0713774746
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF! Kama heading inavyojielezea, leo nawaletea novels kuanzia bibliography za watu mbali mbali,drama mpaka fiction! Zinapatikana kwa muundo wa PDF na EPUB!! kwa wale ambao hawana EPUB...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
*Kama utakipenda chochote hapa njoo PM tuzungumze biashara* 1. Freezer aina ya philips Tsh 80,000/=. Haina mlango wala mtungi wa gesi . 2. Feni ya chini Tsh 8,000/=. Inawaka kwa machale.. yaeza...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama topic inavyojieleza. Nipo Dar, nataka kitanda cha chuma au mbao cha ukubwa wa 5×6 njoo PM tufanye biashara Sent from my TV
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF Nauza viti vilivyotumika. vimetumika miez 3. Ni vizuri kwa kukodisha kwenye shughuli kama harusi, mikutano, semina, misiba, nk. Vipo viti 200. Vinapatikana Iringa mjini. Bei...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu. Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani. Bei ni million 5 kutoka Million 8...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Habari zenu, Naomba kuuliza eti simu ya Android aina ya wiko jelly ni shiling ngapi bei yake kwa anaejua anisaidie. Asante. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina tani kazaa za mashudu ya alizeti na pumba za mahindi, natafuta soko nipo Tabora.
3 Reactions
7 Replies
6K Views
Pendeza kwa kuvaa viatu vikali vya mtumba kwa bei nafuu, jiunge kwenye group letu kupitia link hii hapo chini uweze kupata picha za kazi pindi tunapozipata viatu
0 Reactions
2 Replies
3K Views
ABOUT: inacheza CD aina zote haichagui, mic, flash, bluetooth unacheza mziki kwa simu ukiwa umelala kwenye kochi, mdundo mzito mno. Cable zote zipo na mashine ni mpya unakabidhiwa ndani ya box lake
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari wanajamii, Nilikuwa na wazo la kutengeneza mikoba ya ngozi orignal. Naomba msaada kujua upatikanaji wa ngozi, nipo Dar es Salaam. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari Wana Jamii forum wenzangu, Ninaandaa na kusambaza kuku wa kisasa kwa order majumbani, yaani ninachinja mwenyewe, ninamnyonyoa na kumsafisha vizuri, pia nina mkatakata na kumpack kuku...
0 Reactions
7 Replies
979 Views
Wakuu tuna mahitaji ya materials za kuchanganyia chakula cha mifugo kwa bei ya Jumla. Tuko Dar es salaam. 1. Mashudu ya Alizeti 5 Tons 2. Dagaa 3 Tons 3. Pumba Gunia kuanzia 20 4. Chokaa 1000...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari Wana JamiiForums wenzangu, natumaini Mu-wazima, Ninaandaa na kusambaza kuku wa kisasa kwa order majumbani, na kwingineko, yaani ninachinja mwenyewe, ninamnyonyoa na kumsafisha vizuri, pia...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Main body inajieleza aliye na kaz anipe jaman ninajua kutengeneza hvyo vitu had vtanda vya chuma Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habarini ndugu zangu!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji supplier wa prawns mwenye uzoefu mzuri na ambaye yuko tayari kufanya biashara katika mazingira ya uaminifu naomba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza shamba langu lenye ukubwa wa Ekari 20. Lina mazao Ekari nne nanasi na passion. Eneo lingine huwa nalima muhogo. Muhogo unastawi sana. Shamba lipo BUNGU, KIBITI, pwani. Kuna banda la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…