Barraza
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 481
- 270
Wakuu tuna mahitaji ya materials za kuchanganyia chakula cha mifugo kwa bei ya Jumla.
Tuko Dar es salaam.
1. Mashudu ya Alizeti 5 Tons
2. Dagaa 3 Tons
3. Pumba Gunia kuanzia 20
4. Chokaa 1000 Kg
5. Mifupa 1000 Kg
6. Damu kavu 1000 Kg
Tunahitaji hata zaidi ya kiwango tajwa hapo juu..
Njoo inbox na ofa yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko Dar es salaam.
1. Mashudu ya Alizeti 5 Tons
2. Dagaa 3 Tons
3. Pumba Gunia kuanzia 20
4. Chokaa 1000 Kg
5. Mifupa 1000 Kg
6. Damu kavu 1000 Kg
Tunahitaji hata zaidi ya kiwango tajwa hapo juu..
Njoo inbox na ofa yako.
Sent using Jamii Forums mobile app