Kiwanja kinauzwa Chanika mwisho

Diaryjr

Senior Member
Jun 15, 2015
188
250
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 5 kutoka Million 8 niliyotangaza hapo awali. Karibuni pm tufanye biashara.

Pia nimepata wazo mbadala la kukigawa hichi kiwanja Mara mbili yaani 21 kwa 25 na kuuza 2,500,000.
So kwa atakaevutiwa anaweza kuchagua kununua chote kwa Million 5 au nusu kwa bei niliyotaja hapo juu. Karibuni sana wadau.

Nimelazimika kupunguza bei baada ya kukosa Wateja na ninahitaji pesa ya kuendeleza biashara zangu.

Asanteni wadau kwa ushirikiano wenu
 

njex

Member
Jun 10, 2017
67
125
Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu.
Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani.
Bei ni million 6 kutoka Million 8 niliyotangaza hapo awali. Karibuni pm tufanye biashara.

Pia nimepata wazo mbadala la kukigawa hichi kiwanja Mara mbili yaani 21 kwa 25 na kuuza 3,500,000.
So kwa atakaevutiwa anaweza kuchagua kununua chote kwa Million 6.5 au nusu kwa bei niliyotaja hapo juu. Karibuni sana wadau.

Nimelazimika kupunguza bei baada ya kukosa Wateja na ninahitaji pesa ya kuendeleza biashara zangu.

Asanteni wadau kwa ushirikiano wenu
Kwa mawasiliano zaidi 0717079379
Sawa Mkuu.tutakutafuta kesho jms tukione
 

nsereko m

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
2,940
2,000
Plot4Sale - Kiwanja kinauzwa Chanika


1. Mmary na Diaryjr ni mtu mmoja au watu wawili tofauti?

2. Kwenye uzi wa kwanza nimeuweka hapo juu post # 16 Diaryjr kafika 7.5m, swali langu je biashara haikufanyika au lengo ni kupandisha bei ili mnunuzi mwingine ajikaange?

Maoni yangu:
Fanya biashara yenye kueleweka ikiwa ni pamoja na kuweka taarifa muhimu ikiwemo bei, vipimo vya kiwanja, kimepimwa au hakijapimwa, picha za eneo husika, n.k.

Samahani kama nitakuwa nimekukwaza.


Cc: Mmary,
Diaryjr.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom