Visheti vya nazi

Visheti vya nazi

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
5,034
Reaction score
9,646
Hello, jamani visheti vya Nazi hivyo

Kikopo 1000
(Delivery kuanzia vikopo 5 na unanichangia nusu ya nauli)
eba05d812d115294176aa065c01c69c6.jpg

f78a3b46be1f8a60f69baa7794e1e281.jpg

Jumla 800 kuanzia PC 30

Location Ubungo
Call 0714547830

invest what you are willing to lose
 
Good uwa napenda wajasilia mali nakupa offer nitakutengenezea label za kubandika apo kwenye bidhaa yako ili iwe katika ubora zaidi za kwanza nakupa bure kabisa pis 100 ni pm jina la bidhaa yako na vitu unavyo tumia kutengeneza ivyo visheti na adress zako kamili
 
Waooooo, asante mkuu, nakuja ndukiiii

invest what you are willing to lose
 
Hongera sana my dia kwa kuthubutu hii biashara ni nzuri mno nilishawahi kuifanya,kwa ushauri wa masoko pia jaribu kuwatarget wanafunzi wa shule ya msingi wanavipenda mno ila unafunga kwenye small packet.Kila lakheri.
Asante mpendwa, ntafanya hivyo

invest what you are willing to lose
 
Back
Top Bottom