Embu nikione icho cha sofa
Mkuu weka picha tuone hivi vitanda pliz.
Mkuu weka picha tuone hivi vitanda pliz.
Embu nikione icho cha sofa
Pesa ngapi 6.6
Unatengeneza kwa sh.ngp hicho kitanda? Hebu attach picha ya mfano! Wateja tupo wengi
Nmeweka picha ya mfano hapo juu. Ukitaka nitakufuata pmUnatengeneza kwa sh.ngp hicho kitanda? Hebu attach picha ya mfano! Wateja tupo wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay ofisi zenu ziko wapi mkuu?Mods hawachelewi kunipga ban kwamba nmeweka tangazo.
Ila 5*6 ni sh 300000.
Sent using Jamii Forums mobile app