Simu ya androids aina ya wiko jelly inauzwaje?

Simu ya androids aina ya wiko jelly inauzwaje?

filis

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2017
Posts
323
Reaction score
263
Habari zenu,

Naomba kuuliza eti simu ya Android aina ya wiko jelly ni shiling ngapi bei yake kwa anaejua anisaidie.

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni pm bibie, nikupe bure, hiyo pesa ambayo unataka kununua hiyo simu, ukafanyie mambo mengine ya msingi.
Sawa?!
 
Kuna moja niliiona kkoo kweny duka la simu used..bei ilikuwa 500k wakadai ni simu za france...sasa kuipata tena sidhani
 
Back
Top Bottom