Natafuta management, kipaji changu kinaozea mtaani

computerkiddy

JF-Expert Member
Oct 1, 2015
488
534
Hellow there,am a talented person but kipaji changu sio kuimba bali ni kuchapa code. I mean programming.

My interest is in entertainment ie. coding the Web Apps majoring in entertainment industry.

My new awesome project is to code the Web App which will enable selling digital music world wide. Yes i mean worldwide so artist will be uploading their tracks and albums then waiting for the handsome cash on monthly basis in their credit card.

Source of the income will be.......
  • Sales from downloaded music
  • Direct advertising
  • Mobile advertising
  • Email marketing
  • Sales of company shares
Simple mathematics on how money will be generated
1$ =price for single music download
1000000=1000000$ total company income per day.........if 1/5 is paid to artists then 200,000usd daily income since the site will be selling worldwide.

What i need is the total funding of my project from scratch ie. working laptops, internet connection, simple office/coding lab.

So please fund my project from scratch, entertainment managers, investors, funding organizations you are warmly welcomed. Send me a PM if you are interested.

Kwa wenye mapenzi na kupush any african interprize into international level wanaweza kutoa michango yao kwenye hii namba 0654262419.
Thanks in advance na nakaribisha maoni,na michango ya hali na mali.

Here is my previous project Online pizza/fast food ordering system 0654262419
 
bado nazidi kupokea michango kwa wale wenye kupenda vitu vya kiafrika vikisonga level za kimataifa.........nashukuru kwa wote walioonyesha moyo wa kuchangia.. kama upo tanzania send your fund to my tigo pesa 0654262419 Kwa walio nje ya tanzania unaweza tumia western union to send your fund. my email is rechungura1@gmail.com karibuni sana
 
Hiyo management unayotafuta ni ya nini hasa? mana unasema hitaji lako ni laptop, internet connection na ofisi(huna haja ya ofisi kwa kuanzia). Hivyo vingine vyote viko ndani ya uwezo wako acha kuji-underestimate..... Tengeneza kwanza kwanza hiyo web ndo uje hapa kuomba ushauri
 
mkuu kwanza hii pc ninayotumia naifata kilometer mbili kijiweni na mwnyewe anamind kinoma akikuta natype vitu asivyovijua kwenye pc yake......so ningepata pc yangu ingekuwa vizuri......management ninayoitafuta ni ile itakayosimamia shughuli nzima ya funding
 
Hellow there,am a talented person but kipaji changu sio kuimba bali ni kuchapa code. I mean programming.

My interest is in entertainment ie. coding the Web Apps majoring in entertainment industry.

My new awesome project is to code the Web App which will enable selling digital music world wide. Yes i mean worldwide so artist will be uploading their tracks and albums then waiting for the handsome cash on monthly basis in their credit card.

Source of the income will be.......
  • Sales from downloaded music
  • Direct advertising
  • Mobile advertising
  • Email marketing
  • Sales of company shares
Simple mathematics on how money will be generated
1$ =price for single music download
1000000=1000000$ total company income per day.........if 1/5 is paid to artists then 200,000usd daily income since the site will be selling worldwide.

What i need is the total funding of my project from scratch ie. working laptops, internet connection, simple office/coding lab.

So please fund my project from scratch, entertainment managers, investors, funding organizations you are warmly welcomed. Send me a PM if you are interested.

Kwa wenye mapenzi na kupush any african interprize into international level wanaweza kutoa michango yao kwenye hii namba 0654262419.
Thanks in advance na nakaribisha maoni,na michango ya hali na mali.

Here is my previous project Online pizza/fast food ordering system 0654262419
Samahani mkuu
Kwa kipaji chako mpaka sasa unatakiwa uwe unatuma watu kazi.....
Sio kutumwa....ila kuwa mvumilivu,safari bado ndefu........
1.Anguka uishe kabisa
2.Toka kivingine...ndipo utakapofanikiwa sana.
 
mkuu sijakupata nianguke niishe? nitoke kivingine?.....shule nilishawahi kufundishwa kwamba ukiwa na idea yako ya kijasiriamali inabidi usirud rudi nyuma mpaka uhakikishe umefikia malengo.........ahsante kwa mchango wako
 
Jiajili mwenyewe ili ujitangaze kwanza then hao wadau wengine watajitokeza tu
kujiajiri na kwenyewe kunahitaji management........itakuwa ngumu kama kila kitu ntakuwa nakifanya mwenyewe kuanzia coding,sales,marketing,customer care,funding etc.........asante kwa mchango wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom