Fremu za kupanga King'azi Maramba Mawili - Dsm

Mpenda Uzalendo

Senior Member
Joined
Dec 18, 2015
Posts
112
Reaction score
59
Anakaribishwa yeyote anayehitaji mlango / milango ya kupanga katika fremu zilizopo King'azi (Maramba Mawili uelekeo wa barabara ya kwenda Kinyerezi)

Fremu hizi zipo barabarani na ni eneo ambalo wakazi wake huwa inabidi watembee mwendo mrefu kabla ya kufikia maduka ya vitu wanavyovihitaji ,kwa matumizi muhimu ya kila siku kama mchele, unga, mafuta, nyanya, vitunguu nk.
Ni eneo zuri sana kwa biashara pia kwa wale wajasiriamali ambao ni wabunifu wa kutambua ni vitu gani vingine vinaweza kuuzwa kwa faida ili kukidhi uhitaji wa watu wa eneo hili.
 
biashara zenyewe ziko wapi magufuli kauwa uchumi. haya kila la heri.
 
Attachments

  • FREMU-MARAMBA MAWILI-DSM.png
    FREMU-MARAMBA MAWILI-DSM.png
    254.7 KB · Views: 183
Anakaribishwa yeyote anayehitaji mlango / milango ya kupanga katika fremu zilizopo King'azi (Maramba Mawili uelekeo wa barabara ya kwenda Kinyerezi)

Fremu hizi zipo barabarani na ni eneo ambalo wakazi wake huwa inabidi watembee mwendo mrefu kabla ya kufikia maduka ya vitu wanavyovihitaji ,kwa matumizi muhimu ya kila siku kama mchele, unga, mafuta, nyanya, vitunguu nk.
Ni eneo zuri sana kwa biashara pia kwa wale wajasiriamali ambao ni wabunifu wa kutambua ni vitu gani vingine vinaweza kuuzwa kwa faida ili kukidhi uhitaji wa watu wa eneo hili.

Kuna restaurant maeneo hayo?
 
Gari za kinyerezi kutokea mbezi si zinapita?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio.Magari yanayoelekea Kinyerezi yanapita pale
Maramba mawili.Ila ili kufika King'azi unachukua barabara inayochepuka mkono wa kulia.

Njia rahisi ni kuchukua bajaji Mbezi mwisho, inayoenda King'azi Maramba mawili.Hii itakufikisha moja kwa moja kule.
 
Back
Top Bottom