Kiwanja chenye hati Dar Es Salaam kinahitajika

Kiwanja chenye hati Dar Es Salaam kinahitajika

wa ukwee

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
264
Reaction score
78
Wakuu natumai mu wazima.
Nahitaji kiwanja chenye hati miliki kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha mafuta( petrol station) jijin dar es salaam. Mwenye eneo hilo tafadhali naomba nipm kwa mawasiliano zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kimoja kipo Goba kipo kati ya njia mbili, kimepimwa,.. 300mil,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom