Habari wakuu,
Naomba kujua soko la hii bidhaa kwa mji kasoro bahari. Eneo ninaloishi yanapatikana kwa wingi sana hadi nimeshawishika kujaribu kuyafanyia biashara. Kwahiyo naomba mwanga kidogo...
Nauza shamba muheza ni ekari 40,bei yake ni 5 million..tuwasiliane.
=====
Limesafishwa kama ekari tano hivi
Chanzo cha maji kuna mto pale haupo mbali na shamba walkable distance,
Lina...
Wakuu mwenye kuelewa na kujua zinapopatikana heater za sola za kuchemshia maji...au chai..anijuze ..garama na zinapopatikana ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau.
Natumai mu-wazima wote, kama mada inavyojieleza wadau nahitaji kioo cha L9+ wakuu mwenye nacho au mwenye kufahamu wapi wanauza naomba msaada wakuu.
Natanguliza Shukran.
Thanks...
Habari wakuu.. Kwa wale wanaohitaji kuwa na blogs, website au mobile app, tunafanya huduma hizo za kutengeneza kwa bei nafuu kabisa na kwa muda mfupi tu kazi yako inakamilika pia tunaweka...
Wakuu habari zenu,ninatafuta shamba la kukodi Ruvu nataka nifanye kilimo cha Umwagiliaji.
Naomba kwa mwenye taarifa au msaada wwte anisaidie.
0625568600
Sent using Jamii Forums mobile app
ndugu habari ya jioni, mbunge wa viti maalumu mkoa wa iringa, kaleta wakufunzi wa mafunzo ya ujasiliamali ,"YATAKAYO TOLEWA BURE KATIKA UKUMBI WA OLOFEA MJINI IRINGA, KUANZIA JUMATATU YA TAREHE...
Kama unahitaji kuuza au kununua nyumba maeneo ya mbezi beach,bahari beach,ununio,Mbweni, mikocheni, osterbay , masaki na Dodoma nk wasiliana nasi kwa haraka na uhakika zaidi
0756060183
Sent...
Habari zenu ndugu Wajasiriamali
Nahitaji kufaham wapi naweza pata Vifungashio vya Nylon (mfano wake km ivi vifuko vya Chumvi au vifuko vya Sukari ile ya Kilo1) ili niweze kufanya Packaging ya...
Kuna kiwanja kinauzwa,kipo Kibamba kibwegere kwa Kong'wa.
Kina ukubwa sqm 30 kwa sqm 18. Bei n 2M, vipo viwili pamoja,kwa anaehitaji,karibuni sana.kutoka Kibamba lami (morogoro road),nauli ya...
Ninazo pia za mataifa mengine ya Afrika kama Zimbabwe,Zambia,Malawa na Msumbiji.Nina TZS 10 ya nyerere kwa nyuma watu wanaanika mkonge na TZS 20 ya nyerere kwa nyuma kuna mgodi wa Mwadui,na...
Hii fridge inauzwa kwa bei ya 500,000/= lilikuwa linatumikaa grocery tu ila biashara imeenda biashara naamuaa kuuzaa
Automatic voltage regulator ipo katika hali nzur sanaa ,,bei ni 130,000 kwa...
Rejea hapoo juu kuna laptop aina ya
1.dell latitude
Process 2.2 , 2gb ram, disk 160 bettry minimum 3hrs bei 300000
2.lenovo thinkpad( medium size)
Disk 320, ram 4gb, process 2@ 1.5 ,bettty...
Nataka kuwa natoa dagaa kisiwani naenda uza kahama kama kuna mwenyeji uko anafanya iyo biashara au ka kuna mwenye uelewa juu ya hiyo biashara kwa maeneo ayo naomba maelezo bado nipo kwenye...